Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee, mi siku hizi najitahidi sana kuwa mbali na vitu vinavyoweza kunipa shinikizo la damu! I'm neutral/free like an electron flowing from +ve to -ve side of a node![emoji3]
Afadhali yako. So far tuko mtu tatu ambao hatujali sana ishu hizi za mpira:

Carba, Yego na SYB...

Tutajuana tu pole pole. Ligi yenyewe ndeeeefuuuuu !!!
 
Cherie-Chelsea,Real Madrid[emoji4]
 
Cherie-Chelsea,Real Madrid[emoji4]
Noted. Nitawaandika wote kwenye notebook kabisa. Chelsea nanyi si mlitandikwa jana/juzi tugoli tuwili tutatu hivi katika mechi yenu ya kwanza? Afadhali leo Real Madrid wamekutoa kimasomaso...

Na mtu unaanza anzaje kuwa mshabiki wa hizi timu? Unachaguaje Mf. Chelsea badala ya Arsenal au Manchester United?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…