Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WALLET YA KIJANA WA MAREKANI
1:Visa Card
2😀riving License
3:Hela ya matumizi

WALLET YA KIJANA WA TANZANIA
1:ATM card ya NMB
2:ATM card CRDB
3:Kitambulisho cha Taifa
4:Leseni
5:Kadi ya mpiga kura
6:Business card kama 15
7:Hela ya matumizi

POCHI YA BINTI WA MAREKANI
1:Visa card
2😀riving License
3:Business Card 3 muhimu
4:Hela ya matumizi

POCHI YA BINTI WA TANZANIA
1:Tissue
2:Toilet Paper
3:Always
4:Lip bam
5:Lip shiner
6:Kioo kilichopasuka
7:Wanja
8:Foundation
9:Lotion
10😀eodorant
11:Vaseline ya mgando kakopo kadogo
12:Toothpick
13:Miwani kuuubwa
14:Leso 3
15:Kufuli (umeelewa namaanisha ipi)
16:Line za simu kama 6
17:Kanga
18:Mtandio
19:Wigi
20:Hela za matumizi (NATANIA TU)
21:ATM card (hajui password)
22:Chaja ya simu
23:Chanuo
24😛afyum
25😛ipi, chocolate, bublish
26:Viatu
27:Rangi za kucha
28:Hereni
29:Kibanio cha nywele
30:Night dress

UKIMAINDI NAONGEZA VINGINE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji269]USICHANA[emoji257]
usichana nisawa na [emoji493]chakula kitaam
kilichohifadhiwa kwenye [emoji502]bakuli nzuri
safi kikiwa kimefunikwa (sealed)

ikitokea chakula hiki kikaingizwa [emoji269]
[emoji486]vijiko [emoji486]uma vidole nakila apitae
niwazi kuwa mlaji wa mwisho (MME ) ukuta kikiwa kimechacha ( useless)
NANI APENDAE AU ANAEKUBALI KULA[emoji487] CHAKULA KILICHOCHACHA???
THAMINI UJANA WAKO [emoji253]TUNZA MWILI WAKO [emoji253]JALI UTU WAKO[emoji253] WW NI WATHAMANI SANA[emoji253]
USIJIFANANISHE NA BIDHAA[emoji525][emoji526][emoji530][emoji520] SOKONI
KILA MTEJA AKUTOMASE NA KUKUONJA JIHESHIMU UHESHIMIKE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume ni Nani?

Mwanamume ni yule ambaye anaenda HOTELINI kwanza na kumuambia Mhudumu wa Hoteli Nikija na DEMU hapa sema "" IMEBAKI CHAI NA MANDAZI TUUU.""

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKIWA NA SIFA HIZI BASI WEWE NI LIMBUKENI WA MAPENZI

=>Kushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe.
=> Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu.
=> Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa.
=>Kutafuta mke mwema kanisani wakati we unaenda kanisani wakati wa Christmas tu.
=>Kusema wanawake/wanaume wote wapo sawa.
=>Kuendelea kuchagua wanaume/wanawake wakati unajua waoaji siku hizi wachache.
=>Kuishi na mpenzi wako kabla ya ndoa, unamfulia, unampikia na unampa penzi wakati unajua hujui kwao, ukiachwa unatafuta ushauri mitandaoni.
=>Kusema umeokoka lakini unazini na mchumba kama kawaida kwa kisingizio kwamba soon mtakuwa mke na mume!
=>Kuogopa kuongozana na msichana au mvulana eti mtaingia majaribuni, unajua kutamani tu ni uzinzi pia?
=>Kufikiri kwamba utampata mtu mwenye sifa mia nane unazozitaka wakati wewe huna sifa hata moja ya kuitwa mke/mume labda umuumbe mwenyewe!
=>Kujifanya Nkurunzinza eti unapendwa wakati moyoni unajua wazi mtu kakuchoka, na amekwambia kabisa anatafuta mtu mwingine!
=>Kumhonga mwanaume ili akuoe!
=>Kudhani kwamba kutoolewa ni laana, hii ni bangi mbaya ni afadhali ya kiroba!
=>Kumtongoza mchumba au mke wa rafiki yako!
=>Kuwahi Kuoa wakati huna kazi /chanzo cha kipato cha kuweza kuendesha maisha yako huku ukitegemea mbeleni yatanyooka kuna wenzio yalijikunya hadi mauti yao!
=>Kufikiri eti wanaume wa kiafrika wanaweza kufanya mambo ya kwenye tamthiliya za kifilipino wewe ni nyumbu mwenye matege.
=>Kumsomesha mtu ili uje umuoe wewe ni mjinga kuliko fisi!
=>Kumng'ang'ania mtu asiyekupenda, utazimia ukialikwa harusini amka ndugu!
=>Kuwaeleza mashosti zako 'utam' anaokupa mtu wako!
=>Kumwambia bebi wako anunue gari wakati amepanga chumba kimoja kana kwamba mnaishi stoo ya kutunzia mashudu ya alizeti.....

FUNZO
1.Usiruhusu kile ambacho hauwezi kufanya kuingiliana na kile unachoweza kufanya.
2.Wakati wako ni mdogo, hivyo usiipoteze muda wako kuishi maisha ya mtu mwingine.
3.Uliopita hauna nguvu juu ya wakati huu anza sasa
4.Kuacha kuwa mfungwa wa mambo yaliyopita bali Kuwa mbunifu wa mambo yajayo



Sent using Jamii Forums mobile app
 
MANCHESTER UNITED
1.ANAONGOZA LEAGUE: MAN U
2.TOP SCORER: LUKAKU
3.TOP ASSIST: MIKI
4.SUPER SUB OF THE WEEK: MARTIAL
5.CLEANSHEET: DEGEA
6.BEST DEBUT: LUKAKU
7.MANAGER OF THE WEEK: MOURINHO
8.MOST GOALS IN ONE MATCH: MAN U 4-0


ON FIRE [emoji84][emoji84][emoji84][emoji84]

Man U 4G

Mashabiki Wa Man Mwagen Like Za Kutosha Hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume ni Nani?

Mwanamume ni yule ambaye anaenda HOTELINI kwanza na kumuambia Mhudumu wa Hoteli Nikija na DEMU hapa sema "" IMEBAKI CHAI NA MANDAZI TUUU.""

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ni kama preemptive strike!
 
Back
Top Bottom