sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,152
- 48,355
MAMBO MUHIMU NILIYOJIFUNZA KIPINDI HIKI CHA HUU UTAWALA
1 ) Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa
2 )Kumbe unaweza kubeba chakula na kwenda nacho kazini.
3 )Bila bodaboda, Bila bajaji kumbe unaweza kutembea na ukafika Kazini.
4 )Tafadhali nipigie kumbe ni huduma ya msingi.
5 )Nyama ni mbaya kwa Afya yako.
6 )Jiko la mkaa kumbe linapika chakula kizuri sana.
7 )Ukisaga Mahindi yasiyokobolewa kumbe yanatoa unga safii.
8 )Maji ya kuchemsha kumbe ni matamu sana.
9 )Ugali pia kumbe ni breakfast. (kifungua kinywa).
10 )Ukioga na sabuni ya Kipande, kumbe bado unaKuwa msafi.
11) Matembele, mchicha na sukuma wiki ni muhimu ktk kuongeza damu na kukamilisha mlo kamili.
12)Mayai na Chips Kuku, ni hatari sana Kwa Afya za watu;
13) Vitz na passo sio gari za kike
14) Ndoa zisizo na sherehe na shamrashamra za ukimbini, zinadumu sana na zina furaha sana kuliko hizo nyingine,
hahahahahaaaaaa, mheshimiwa kiboko.
Sent using Jamii Forums mobile app