408٤٠٨
Jamii Forums mobile app
Kumbe mnajuana la SHIMBA?Ni kweli mkuu.. Kwa nadra mno naingia hapa Kijiji cha likes, ila SHIMBA YA BUYENZE anajua kila kitu mkuu CleverKING
410٤١٠
Jamii Forums mobile app
Unaweza kufanya kazi anazofanya Punda huku unapigwa mijeledi kwa kila safari huku umebebeshwa mizigo mgongoni au unavuta mzigo mzito?😀😀Inakuwaje punda hajasoma lakini hakosi ajira? Au ajira haina uhusiano na kusoma
Juu ya alama09:09