Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

18950221_1818367548492020_7982564295802093568_n.jpg

1. SHIKAMOO PESA ..siamini kama nakusalimia nikijua kabisa hautaniitikia 2.PESA tulikuwa na msemo wetu wa "laki si pesa" leo hii hata buku ni pesa ukiipata unaitumia kwa nidhamu zote 3.PESA hata wale wanaume waliokuwa wanatuza pesa kwenye maclub leo hii wanaitwa DUME SURUALI. 4.PESA vita ya kukutafuta haijawahi kumuacha mtu salama lazima tuchizike kwa kukuwaza 5.PESA kwa sababu yako wewe "HAKUNA MKATE MGUMU MBELE YA CHAI" 6.PESA umetuletea hadi msemo wa JAZA UJAZWE kila mtu anajazwa hadi wanaume bila wewe tigo wasingeuweka
 
Back
Top Bottom