Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
HahahahahaUsiulize majibu kwenye mtihani usio na maswali mkuu...
Hebu nionyeshe uzi wa maana ili niende huko fasta...
Ukuje Na mijizawadi Huku TownKama kawa tupo kijijini hapa tunasambaza upendo
Nzuri za kwakoHabari za jioni wapendwa
Naimani mlikuwa na siku njema
Poleni na majukumu
AMUN RA4:54
AMUN RA
Ni kwa neema tuNdiyo maana tukaambiwa kuwa tutaokolewa kwa neema tu na si vinginevyo...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Pokea likes zako mkuu.Huu uzi mbona hauna maana lakini unatembea sana!!!
What is so special wakuu (gongeni like basi hapo chini)