Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu uzi mbona hauna maana lakini unatembea sana!!!
What is so special wakuu (gongeni like basi hapo chini)
Usiulize majibu kwenye mtihani usio na maswali mkuu...

Hebu nionyeshe uzi wa maana ili niende huko fasta...
ba80f85ee443da855b21d6dd0524bd8c.gif
 
Hata kama maandiko yanasema usimtegemee mwanadamu,mimi nakutegemea wewe kwa ushauri kuhusiana na mambo haya.Ahsante shemeji kwa kunitia moyo...Kwanini nisipepese au nisizungushe shingo nikiona kitu cha kustaajabu na kufariji nafsi!! Kusifia uumbaji wa Baba! Tukae mbali na unafiki....Hata yule pale juu ukiona anarudia rudia neno ...amen,amen,amen...ujue kuna....kaona,netiweki imekata...
Du [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
No comments
 
Back
Top Bottom