Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Baada ya ku realize kuwa wewe ni wa thamani sana kwenye haya maisha, sio uoga ila pia I wanted to be sureHivi huu uoga ulikuisha lini[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Baada ya ku realize kuwa wewe ni wa thamani sana kwenye haya maisha, sio uoga ila pia I wanted to be sureHivi huu uoga ulikuisha lini[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mama anaekimbia ndoa yake[emoji2][emoji2]Eti nn? Walah hunikuti nyumbani. Kichwa kichafu njoo unichukue.
Kweli kabisa Bro[emoji818][emoji818][emoji818]The unhappiest people in this world are the people who care the most about what everyone else thinks.
[emoji23][emoji23]Nimekuja mama acha huyo anajali majukumu zaidi yako.
Karibu kwenye ulimwengu wa kupetiwa petiwa kwa kichwa
EehAsante my new bae. Mwaaah!
Hili penzi liliishia wapi?Penda sana wewe toto unaviruga kumoyo kweli kweli mama
Asante my new bae. Mwaaah!
Nimekuja mama acha huyo anajali majukumu zaidi yako.
Karibu kwenye ulimwengu wa kupetiwa petiwa kwa kichwa
Open marriage hiyo. Raha sana. Hatari pekee ni kuleteana magonjwa !!!Mama anaekimbia ndoa yake[emoji2][emoji2]
Karibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaNyumban kwa kichwa ni hapaView attachment 533210
TrueAll things change; nothing perishes.
[emoji767] Ovid
[emoji102] [emoji102]Uzi pendwa naona speed 180 kph
HahahahahaHaya hayaaaaa,acha na mimi nibebe kwa macho tu![]()