Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-14-13-59-17.png
 
Mimi nilifundishwa kwamba kuangalia na ku-appreciate uumbaji wa Mungu siyo dhambi. Dhambi inaanza pale unapoanza kupanga mikakati ya kuomba namba ya simu n.k. Huwezi kumzuia ndege kuruka juu ya kichwa chako lakini unaweza kumzuia asituepo. Ni unafiki kudhani kuwa eti mwanaume rijali asiye na matatizo anaweza kumwona mwanamke mrembo (kwa vigezo vyake) halafu "asi-pay attention". Kama yupo basi naomba tuwasiliane. Watakatifu mliomo humu, hebu toeni ufafanuzi wenu kuhusu hili; na nitashangaa sana siku ya huku nikitupwa motoni kisa eti nilikata shingo kuangalia msambwanda !!!
Kwa maana nyingine unamaanisha "TUISHINDE TAMAA" maana ipo kwa asili.Ahsante SYB
 
Mimi nilifundishwa kwamba kuangalia na ku-appreciate uumbaji wa Mungu siyo dhambi. Dhambi inaanza pale unapoanza kupanga mikakati ya kuomba namba ya simu n.k. Huwezi kumzuia ndege kuruka juu ya kichwa chako lakini unaweza kumzuia asituepo. Ni unafiki kudhani kuwa eti mwanaume rijali asiye na matatizo anaweza kumwona mwanamke mrembo (kwa vigezo vyake) halafu "asi-pay attention". Kama yupo basi naomba tuwasiliane. Watakatifu mliomo humu, hebu toeni ufafanuzi wenu kuhusu hili; na nitashangaa sana siku ya huku nikitupwa motoni kisa eti nilikata shingo kuangalia msambwanda !!!
Mzee kwa nini husiwawasaidie wanao tafuta watu wa kuzaa nao tu? Make wamekosa wame sasa wanakuja na njia ingine..Alternative to
 
Back
Top Bottom