Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Wanawake Bana Babe usimalize sijakojoa bado*
*```Umeyataka mwenyewe,Umeanza kujikoroga na kuyawahi Mapenzi ukiwa na Miaka 13 ukidhani ni Ujanja, ukajipenenge kwa Houseboy Akakupasua na tangia hapo machepele yakazidi na Idadi ya Wafuasi wa Kinjekitile uliowaingiza Pangoni kwako ni zaidi ya 90 mpaka Leo ```*.
*```Ukijumlisha na Mavyuma ya kutolea Mimba 9 ambazo umeshashusha basi kikonyo kimeshakuwa kama ulimi wa Mamba Mzee.. Ndefu, nene...Fupi..... nyembamba..Ndefu nyembamba...ZOTE TWENDE KAZI.. Halafu leo unashangaa kwanini kila Mwanaume unayejaribu kutulia nae HAKUFIKISHI```*.
*```Atakufikishaje kwa Mfano?Papa limeshakomaa hata aingize MWIKO WA PILAU husikii kitu. Eti Babe usimalize kwanza Sijakojoa bado...Unataka```*
*```Kukojoa KUNYWA MAJI MENGI Kelbu We! Mkojo Utausikia MITA 200 kutoka Kituo cha Kura```*
*_Jiwe Gizani_*
*_Ujumbe Umefika_*
[emoji400] [emoji400] [emoji400] [emoji400] [emoji400] [emoji400] [emoji400] [emoji400] [emoji400] [emoji400] [emoji338] [emoji338] [emoji338] [emoji338]
[emoji338] [emoji259] [emoji259]
[emoji259] [emoji259] [emoji259] [emoji256] [emoji256] [emoji256] [emoji256] [emoji256]
Duh! Pole pole mkuu. Haya mambo mara nyingi ni mawasiliano tu. Ukimjulia uliyenaye na ukamtendea kimfikichacho basi kumfikisha siyo kazi ngumu kivile. Shida wapenzi na hata wanandoa wengi hakuna mawasiliano kuhusu siri za miili yao. Mtu anakwenda kufunguka zaidi kwa mchepuko wake badala ya mkewe/mumewe. Ni vurugu tupu !!!
 
IMG_3511.PNG
 
Hata kama maandiko yanasema usimtegemee mwanadamu,mimi nakutegemea wewe kwa ushauri kuhusiana na mambo haya.Ahsante shemeji kwa kunitia moyo...Kwanini nisipepese au nisizungushe shingo nikiona kitu cha kustaajabu na kufariji nafsi!! Kusifia uumbaji wa Baba! Tukae mbali na unafiki....Hata yule pale juu ukiona anarudia rudia neno ...amen,amen,amen...ujue kuna....kaona,netiweki imekata...
Mimi nilifundishwa kwamba kuangalia na ku-appreciate uumbaji wa Mungu siyo dhambi. Dhambi inaanza pale unapoanza kupanga mikakati ya kuomba namba ya simu n.k. Huwezi kumzuia ndege kuruka juu ya kichwa chako lakini unaweza kumzuia asituepo. Ni unafiki kudhani kuwa eti mwanaume rijali asiye na matatizo anaweza kumwona mwanamke mrembo (kwa vigezo vyake) halafu "asi-pay attention". Kama yupo basi naomba tuwasiliane. Watakatifu mliomo humu, hebu toeni ufafanuzi wenu kuhusu hili; na nitashangaa sana siku ya hukumu nikitupwa motoni kisa eti nilikata shingo kuangalia msambwanda !!!
 
Back
Top Bottom