Amen.kweliMungu ni Mwema sana
Nami ngoja nimbebe Jakitoo wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaHakika mkuu,ndio maana natamani hiyo sheria ifanyiwe marekebisho au iondolewe kabisa.Ni ngumu kutokutamani,labda usiwe mpenda maendeleo,yaani hujui kutafuta hela,namaanisha huyajui matumizi ya hela[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utaongea weee, mwisho wa siku nawe baba unaenda kupita huko huko jikoni...Hahahahaha
Sijui kwa nini mlango wa jioni unatumika sana labda waje wageni ndio utaona unafunguliwa wa mbele
AMUN RA4:00
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSES are on my side forever
Tit for tat....
DuhMy love Dodoma mpka season yaani tangu nimeanza kuishi hapa mvua zinanyesha wakati wa season yake tu
Ila sijakuzuia kuja Mbeya mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Poa mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hongera mkuuNami ngoja nimbebe Jakitoo wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Mungu akasimamie kazi ya mikono yako[emoji120] [emoji120]Yap my mental wa hili wazo anakuja next week mwezi wa September sio mbaya kuanza mambo
Haya hayaaaaa,acha na mimi nibebe kwa macho tuNami ngoja nimbebe Jakitoo wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Hahahaaaaahaaaa,basi mimi tayari...Sitahitaji hata kupanga foleni ya kujitetea siku ya hukumu.Kama ni hivyo nime duu...weng...Nisamehewe bure tu mimi. ..[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hahahahaha
Wewe ni shida Yale maandiko wamesema yasiongezwe hata nukta sembuse kufuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pambana na hali yako
Mengine hayatekelezeki kwa nature hii ya binadamu wa kawaida. Otherwise ni unafiki tu !!!Hahahahaha
Wewe ni shida Yale maandiko wamesema yasiongezwe hata nukta sembuse kufuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pambana na hali yako
Wamarekani nao sasa wanapambana na hali yao...
Nami ngoja nimbebe Jakitoo wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Haya hayaaaaa,acha na mimi nibebe kwa macho tu![]()