mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Huku mkuu kuchimba kisima muhimu kuliko kitu ChochoteHilo ni la muhimu,lasivyo ukasombe maji mto Ruvu
maji ni tabu sana
Huku mkuu kuchimba kisima muhimu kuliko kitu ChochoteHilo ni la muhimu,lasivyo ukasombe maji mto Ruvu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji112][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee una roho mbaaaaya...
Wazima karibu Mkuuwazima??
15:573:33
AMUN RA
Mvua za sasa hazina tena season,Mvua za kwetu huku mpka season yake ifike mwezi wa December to April
Mungu ni Mwema sanaHospital zetu wangewanyoa upara kwanza,utadhan nywele dhambi kwa mgonjwa pia kungekua na gharama nyingi matibabu hafifu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha nilikua napenda magazeti ya udaku
OkHuku mkuu kuchimba kisima muhimu kuliko kitu Chochote
maji ni tabu sana
My love Dodoma mpka season yaani tangu nimeanza kuishi hapa mvua zinanyesha wakati wa season yake tuMvua za sasa hazina tena season,
Maana Dar ina nyesha kweli kweli!
Hakika mkuu,ndio maana natamani hiyo sheria ifanyiwe marekebisho au iondolewe kabisa.Ni ngumu kutokutamani,labda usiwe mpenda maendeleo,yaani hujui kutafuta hela,namaanisha huyajui matumizi ya hela[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maandiko yanasema ukitamani tu tayari umedu
Kwa mujibu wa haya maandiko naona umedu na wengi sana