Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi nilifundishwa kwamba kuangalia na ku-appreciate uumbaji wa Mungu siyo dhambi. Dhambi inaanza pale unapoanza kupanga mikakati ya kuomba namba ya simu n.k. Huwezi kumzuia ndege kuruka juu ya kichwa chako lakini unaweza kumzuia asituepo. Ni unafiki kudhani kuwa eti mwanaume rijali asiye na matatizo anaweza kumwona mwanamke mrembo (kwa vigezo vyake) halafu "asi-pay attention". Kama yupo basi naomba tuwasiliane. Watakatifu mliomo humu, hebu toeni ufafanuzi wenu kuhusu hili; na nitashangaa sana siku ya huku nikitupwa motoni kisa eti nilikata shingo kuangalia msambwanda !!!
Hakuna lazima tufurahie uumbaji wake Mwenye Enzi Mungu
 
Back
Top Bottom