Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hiyo shimba huyu jamaa ni
Msyria
Ana historia ngumu kidogo kwa sababu alikua kwa shida shida sana. Babake wa kumzaa ni Msyria japo sina uhakika kama alikuwa na ukaribu naye (he was adopted), na kama kweli aliipenda Syria mpaka kuchukua uraia wa huko. Nina biography yake hapa na sijaisoma...
 
Screenshot_2017-08-14-13-55-33.png
 
Back
Top Bottom