Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uzi huu ni kama konveya belti. Watu wanakuja na kwenda...na uzi unaendelea. Ndo maisha !!!Post # 550
Huyu sijui kapotea wapi
HahahahaUzi huu ni kama konveya belti. Watu wanakuja na kwenda...na uzi unaendelea. Ndo maisha !!!
Huyu alikimbiza sana Uzi Siku ya kwanza ana post nyingi sanaKaa vizuri upewe zikutoshe
Post # 620Zimekuwa nyingi sana!
Post # 624Kula like
Tupo pamoja katika ishu hii ya kuchekwa ushamba. Kwenu Wanyakyusa inanishangaza kidogo. You are one of the big three kwenye shule (Wachagga, Wahaya na Wanyakyusa). Sisi Wasukuma tulizembea kuchunga ng'ombe tukapuuzia shule kwa muda mrefu hata tukichekwa ushamba ni sawa tu. Lakini Wanyakyusa? Why?Aiseee!!!!!!