Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sipogo huko na wala cjui wanafanyaga niniSnapchat was originally marketed as an app to send nude pictures called Picaboo.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wewe shida hizi nukta ulianz Siku ya kwanza
HahahahahaZitanikoma leo
.Hahahahaha
Aisee ulikuwa na fujo balaaaMkuje huku
Jamani cc kisu cha ngariba wananisema hukuAisee ulikuwa na fujo balaaa
Niko poa tu,hope u tooNambie kaka angu
Mie bukher wa afya tuNiko poa tu,hope u too
Akhui
Post # 1410Unaonekana unakipaji cha kubuni ujinga!
Ila siku ukabuni ujinga kama huu then uka convert it to cash money utakuwa bonge LA billionaire kama yule Wa Facebook!
Dunian binadamu wanapenda vitu laini visivyo umiza kichwa, Fanya hivyo mkuu utajirike nimeona kpaji unacho!
Post # 1429Wale wa Stress Free Zone karibuni, maisha ni mafupi kuanza kunyimana likes..