Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tupo pamoja katika ishu hii ya kuchekwa ushamba. Kwenu Wanyakyusa inanishangaza kidogo. You are one of the big three kwenye shule (Wachagga, Wahaya na Wanyakyusa). Sisi Wasukuma tulizembea kuchunga ng'ombe tukapuuzia shule kwa muda mrefu hata tukichekwa ushamba ni sawa tu. Lakini Wanyakyusa? Why?
cdee54cfb1fa287c418c3da81fad64d2.jpg
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Back
Top Bottom