Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Likes utazipata sana tena Kwa wingi na unakaribishwa kwa mikono miwili. Cha muhimu tu na wewe utoe hizo ulizokuja nazo. Hatubaguani, hatutukanani na hatuweki picha za matusi, kijadili dini wala siasa (kwa mihemko!)...jamani mi mgeni huku, naomba mnikaribishe kwa like
Hapa kila post ni likes nawe pia toa likes kwa kila postjamani mi mgeni huku, naomba mnikaribishe kwa like
Mkuu nipoLeo nilitingwa kidogo narudi nakuta watu wanaaga kwenda kulala. Nani bado yuko macho tuendeleze libeneke la likes?
Asante mkuu. Unalitendea haki jukwaa hili. We na dadangu ndo viongozi wa jukwaa hili!!!Mkuu nipo
Ni shida kubwa sana kupata viongozi wenye kariba kama ya Mwl ni ndoto kwa sasa