Ni shida kubwa sana kupata viongozi wenye kariba kama ya Mwl ni ndoto kwa sasaUmeongea maneno mazito sana mkuu. Viongozi wabovu na walafi ni janga nambari wani la Afrika !!!
Mwanafalsafa mbobevu weweee !!!When you were born, you were crying and everyon around you was smiling. Live your life so that when you die, you're the one who is smiling and everyone around you is crying.
ThanksU 2 my dear
Na kwako piaUsiku mwema Mbarikiwe mno