Umeongea maneno mazito sana mkuu. Viongozi wabovu na walafi ni janga nambari wani la Afrika !!!Wewe unajutia mambo uliyoyafanya ukiwa mdogo, leo kuna watu wazima wamepewa jukumu la kusimamia mali za nchi , vitendo wanavyofanya kwa hizo mali utabaki mdomo wazi na kudhani huenda hata watoto wa o'level wana nafuu!
U 2 my dearGood night 2
Have a sweat dreams
Endelea kujikita na ukweliNimegundua bora tuwe tunaandika ukweli mtupu maana hakuna namna
Laleni unono PwaniGood night Pwani