mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro. Heri ungejua uzi huu utakachokupatia. Kweli binadamu tumefichwa yajayo !!!
Hahahahaha acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro. Heri ungejua uzi huu utakachokupatia. Kweli binadamu tumefichwa yajayo !!!
Hukuo huko hahahaaMuangalie vizuri wa nyuma ya dereva alipo jishikiria[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe unajutia mambo uliyoyafanya ukiwa mdogo, leo kuna watu wazima wamepewa jukumu la kusimamia mali za nchi , vitendo wanavyofanya kwa hizo mali utabaki mdomo wazi na kudhani huenda hata watoto wa o'level wana nafuu!Mali ya umma haina uchungu. Nakumbuka O'level tuligoma tukavunja vioo na milango ya bweni na bwalo pamoja na nyumba moja ya mwalimu mnoko. Tuliteseka sana kufyatua matofali na kuchangishwa pesa kufidia uharibifu wote. Yote yalikuwa ujinga na utoto na ustaarabu na maendeleo ya jamii unaweza kuvipima kwa jinsi wanavyotunza mali ya umma.
Indeed broUzi huu ni kama konveya belti. Watu wanakuja na kwenda...na uzi unaendelea. Ndo maisha !!!
Asante kwa kuj mkuuNipo kamanda ila nilikuwa kiwangwa huku nertwork mbovu