DuhWhat a happy Monday [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Naangalia malegend wa huu uziUmeanza kufukua na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Amesema yaliyo mema, maana kuandamana ni haki yao ingawa hawawezi kupora haki ya wengine ambao wanadhani wamepata ushindi wao kisheria.Uhuru Kenyatta kawahimiza wasioridhika na matokeo waandamane bila kuvunja sheria
HahahahahaWahenga tu wataelewa hiki ni nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()