Ni kweli mkuu. Wazazi wa huyu mtoto sijui wanafikiria nini...Siajabu wanaompiga picha wanaangua kicheko huko nyuma.Ni moja ya picha ya hovyo kabisa na isiyo na utu...
Aisee..Uhuru Kenyatta kawahimiza wasioridhika na matokeo waandamane bila kuvunja sheria
Alipopataka sipo alipopapata...Muacheni Mungu aitwe Mungu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro. Heri ungejua uzi huu utakachokupatia. Kweli binadamu tumefichwa yajayo !!!