Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-14-18-11-50.png
 
Mali ya umma haina uchungu. Nakumbuka O'level tuligoma tukavunja vioo na milango ya bweni na bwalo pamoja na nyumba moja ya mwalimu mnoko. Tuliteseka sana kufyatua matofali na kuchangishwa pesa kufidia uharibifu wote. Yote yalikuwa ujinga na utoto na ustaarabu na maendeleo ya jamii unaweza kuvipima kwa jinsi wanavyotunza mali ya umma.
 
Alipopataka sipo alipopapata...Muacheni Mungu aitwe Mungu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan nimekunyooshea mikono we Mzee ww ovyo sana
 
Back
Top Bottom