Mwambieni nampendaCarba nakuona nakuona,unapiga tu likes
Hujambo lakini?
Huyu jamaa mimi nilikuaga si mkubali lakini kwa alicho tufanye final ya wembley nikagundua sio mtu mzuri
King La pulgaHuyu jamaa mimi nilikuaga si mkubali lakini kwa alicho tufanye final ya wembley nikagundua sio mtu mzuri
HahahahaMwambieni nampenda
Mwambieni sitomtenda
Namtafuta popote alipo
Sijamuoma kwa masaa kadhaa
Maisha yangu yanakaribia kuwa balaa
NICE
Wewe posti uoneHizo like mbona sizioni, bongo cha bure shikamoo watu mpaka hizo like wanauza......
Sent using Jamii Forums mobile app