SUMU YA NYOKA NI IPI?
hii ni sumu ambayo inatolewa na nyoka wakati wa kung'ata mtu, asilimia kubwa ya nyoka ambao wapo kwenye mazingira yetu hua hawana sumu yaani kimsingi ukiona mtu ameng'atwa na nyoka leo afu kesho ndio akaenda hospitali baada ya mguu kuvimba basi ujue nyoka yule haukua na sumu. nyoka wenye sumu kama cobra na black mamba huua ndani ya dakika 20 baada ya kumng'ata mtu.hivyo ukingatwa na uko umbali wa mwendo dakika 20 kutoka hospitali ujue utakufa tu.