Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

haemotoxin; hii husababisha damu iwe nyepesi sana na kuanza kuvuja ndani kwa ndani au damu kushindwa kuganda kama inamwagika kutoka kwenye kidonda, sumu husababisha sehemu muhimu za mwili kukosa damu na kufa kwa muhusika.
 
mishipa ya fahamu; nyoka huyu huweza kutoa sumu kali kwenye mishipa ya fahamu ambayo husimamisha shughuli ya upumuaji na kuua kabla ya matibabu. kabla ya kufa mgonjwa huanza na dalili za kushindwa kuona, kushindwa kupumua vizuri, ganzi na kushindwa kusema.
 
mgonjwa asitembee kwani atasambaza sumu mwilini yaani abebwe palepale.
usifunge kamba kwenye mguu kwani imeonekana haizuii chochote zaidi ya kuharibu kiungo husika.
usichanje na wembe au kunyonya na kutema sumu kwani utaharibu mishipa ya damu
 
usiweke barafu kwani hakuanushahidi kwamba inasaidia.
piga simu kuomba msaada ili mgonjwa apelekwe hospitali.
usiweke pombe kwani huongeza ukubwa wa mishipa ya damu na kusambaza sumu zaidi.
kama nyoka amekufa nenda naye hospitali daktari amuone ili ajue kama ana sumu au hana sumu.
 
Back
Top Bottom