Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mtu anaimbiwa huu wimbo au ni flu tu imekuzidia? [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Hapana mkuu Dodoma ndio makazi
Nimepata msiba nimesafiri usiku kuchwa nipo kisiwani by now
Tutazika jioni ya Leo
Ratiba tight natakiwa A town kesho kutwa so confused
Wacha nipate likes kwanza
Oooh pole sana. Mungu Akupe faraja pamoja na wapendwa wako na aliyetangulia mbele ya haki apumzike salama. Yote yatakuwa sawa !!!
 
Namwimbia yule Shimba ya buyenze.... Flu zipo napambana nazo kisawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…