Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
Umesemaa ukweli kabisa mkuuUmetumia criteria gani kujua hicho kilichoandikwa kua ni Pumba?
Kisichokufurahisha wewe huenda kikamfurahisha mwingine na kinachokufurahisha wewe huenda kisimfurahishe mwingine,
Hatufanani, na kutokufanana kwetu ndio kunakofanya huu uzi kupendeza,
Katika maisha ingekua binadamu wote tuna mtazamo unaofanana tusingekua na haya maendeleo tuliyonayo leo hii kwenye hii dunia tunayoishi, mitazamo tofauti ndio huleta maendeleo.
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app