Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
Kabisaaa
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Kabisaaa
Na wewe piaaMuwe na Siku njema
Umetumia criteria gani kujua hicho kilichoandikwa kua ni Pumba?Mbona naona watu wengine humu wanaandika pumba tu!!
Halafu wanapewa "Like".
Mfano huyu jamaa hapo chini yangu!!!
Niambie jembeKabisaaa
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
CLEVERKING him self Big upUmetumia criteria gani kujua hicho kilichoandikwa kua ni Pumba?
Kisichokufurahisha wewe huenda kikamfurahisha mwingine na kinachokufurahisha wewe huenda kisimfurahishe mwingine,
Hatufanani, na kutokufanana kwetu ndio kunakofanya huu uzi kupendeza,
Katika maisha ingekua binadamu wote tuna mtazamo unaofanana tusingekua na haya maendeleo tuliyonayo leo hii kwenye hii dunia tunayoishi, mitazamo tofauti ndio huleta maendeleo.