Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
6.Magamba ya chini uwa yana rangi ya uzurungi au zambarau.
7.Pia anakuwa na magamba yenye rangi ya njano na zambarau ubavuni yaliotengeneza maumbo ya pembe tatu.
8.Macho yake yana rangi ya kijivu na mboni ya jicho huponekana kuwa na rangi ya fedha.
9.Jamii yao ambao wanapatikana Afrika ya magharibi wana pea moja ya pembe ambazo zipo katikati ya matundu ya pua.
10.Mwili wa kifutu huwa na rangi ilio pauka.