Hello ni wakati wa Novage sasa..
Novage ni bidhaa zilizotengenezwa kwa kutumia malighafi asilia kabisa, hazina chemicals hivyo zitasaidia kuilinda na kuitunza ngozi yako.
Tuna sets 4 za Novage....
[emoji818]Novage Bright Sublime 20+
*Husaidia kuondoa madoa 100% na mabaka.
*Hung'arisha ngozi ya uso.
*Huondoa chunusi.
*Ni kwa ngozi aina zote.
* Ni kwa jinsia zote..
[emoji818]Novage True Perfection 25+
* Huondoa dalili za ngozi kuchoka na mikunjo.
* Huondoa madoa na chunusi.
* Hung'arisha ngozi ya uso.
* Ni kwa ngozi aina zote
* Ni kwa jinsia zote
[emoji818]Novage Eccollagen35+
* Huondoa mikunjo kunjo kwenye ngozi ya uso.
* Hung'arisha ngozi ya uso.
* Hutumika kwa ngozi aina zote.
* Hutumika kwa jinsia zote.
[emoji818]Novage Ultimate lift. 40+
* Husaidia kukaza ngozi ya uso kwa ile iliyoanza kulegea.
* Hung'arisha ngozi ya uso.
* Ni kwa ngozi aina zote.
* Hutumika kwa jinsia zote..
[emoji815][emoji815][emoji815][emoji815][emoji815]
UMUHIMU WA KUCHUKUA SETI KAMA ILIVO:
Unaweza kununua bidhaa moja moja ila usitegemee matokeo hayo nilioandikaa
Kwasababu gani???
Katika hii seti kuna vitu vifuatavo:
[emoji419]Sabuni ya kuoshe uso,huondoa vumbi mafuta uchafu na hung'arisha ngozi..hizi sabuni za maji za oriflame za usoni hufungua vitundu vya ngozi na kuosha ngozi hadi ndani kabisaaa...
[emoji419]TONER:
Hii huziba vitundu vya ngozi ili uchafu usiingie kwa ngozi na pia hufanya kazi ya ziada ya kusuuza ngozi
[emoji419]CREAM YA MACHO:
Husaidia ngozi ya chini ya macho isivimbe na kuondoa mistari au makunyazi na.kuondoa alama nyeusi
[emoji419]SERUM:
Hii ni lotion nyepesi ambayo hupenya ndani ya ngozi kirahisi hadi layer ya pili ya Epidermis kwenda kusaidia kurekebisha tatizo husika...
Na husaidia cream iweze kunyonywa kwa urahisi kwa sababu cream huwa ni nzito kdogo
[emoji419]CREAM YA MCHANA:
Hupakwa baada ya kupaka serum ili kuilinda ngozi yako na jua..ina kimelea cha kisayansi kinachoitwa SUN PROTECTING FACTOR(spf) ya kiwango cha 20(spf20) hiki ni kiwango kikubwa hivo huweza kuzuia mionzi ya jua kupenya kwa ngozi yako
NIGHT CREAM:hupakwa juu ya serum usiku,hii hurutubisha ngozi na kusaidia kazi husika ya seti husika.
Ukihitaji tuwasiliane kwa simu namba 0672416294 au 0629273281
Sent using
Jamii Forums mobile app