Duyyhhh utanifundisha babeKikoromije kigumu. Kina tones. Mfano kondoo na moyo ni neno moja (ng'holo) na tofauti yake inatokana na jinsi unavyolitamka!
Alisemaje kwani mkuu.Aliwahi kumtisha mwandishi wa BBC Mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2000, kwakweli siwezi kusahau sentesi yake kali kwa mwandishi marehemu Kabendera Shinani aliyekuwa akiripoti toka jijini Kigali na baadaye Bukoba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo. Nitakuwa mwalimu bora kabisa ambaye umeshawahi kufundishwa naye !!!Duyyhhh utanifundisha babe