Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
I994
Post [HASHTAG]#8051[/HASHTAG]Sijawahi ona uzi unakimbia kwa kasi kama huu. Watu hawalali duh!
حَلْ اَنْتَ تَكَلَّم باِاللُّة الْعَارَبِيَّة؟1034
Hapa kasi tu!Post [HASHTAG]#8051[/HASHTAG]
Post [HASHTAG]#8097[/HASHTAG]Kuna taarifa za chini kwa chini ambazo nimepenyezewa na member kutoka MAKAPUKU FORUM kuna kikao wamekaa jana usiku saa nane za usiku kujadili mstakabadhi wa hii thread, ndani ya siku mbili imepata wafuasi wengi na ndiyo thread inayo trend kwa sasa hapa jf... kuna njama mahususi zinapagwa kuhujumu hii thread...