Afadhali mwenzetu ndoto ya kumiliki gorofa imetimia. Amethubutu[emoji122] [emoji122]
utakapoletewa usisahau kunichukulia na mie yanguMwambieni pombe nataka noah yangu
Huyu jamaa hana hamu na pombe
Sana tuKishindo cha like
Ndiyo naingia jmvini! Ingawa usingizi leo umekubaliNipo hapa jmn, wewe wapi
Toa like pata likesSana tu
jaza ujazweWasi wasi wangu ISIS akihudhuria atatambulika tu. Ila wazo zuri
nimeshakujaza haya nijaze basiJaza nikujaze
HahahahaUbinadamu ni damu, bila damu ni sanamu, kama salaam ni tamu basi tabasamu
Thubutuuu, chezea wewe!!Hivi siku hizi bado watu wanaokota hela?
Kwa kweliEeh mpaka kieleweke.
Kula likes..Unakarbia kuupiku uzi ule wa
Wa mwisho ndio mshindi japo ulianza 2012 hongereni