demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,294
Unatumia simu ee, nenda stationary ukafungue kwenye pc/desk top utaziona kibao
Unatumia simu ee, nenda stationary ukafungue kwenye pc/desk top utaziona kibao
PM ndie faru John au?
You can't trust me you can't love me
Uzi unatembea hahahahha
Hakuna kushangaa gonga like
Eeh mpaka kieleweke.Dozi inaendelea
Huku ni mwendo wa like tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Acha uvivu bw mdogoBakwata tangaza Eid Jumapili ili tupumzike J3 na J4 - Long weekend.
BBC SWAHILI
Kakimbia pamoja na kichwa kichafu
naona likes zinapungua kadri uzi unavyosonga
Wasi wasi wangu ISIS akihudhuria atatambulika tu. Ila wazo zuriWeekend fulani tukutane kiwanja fulani lakini tutatambulishana kwa majina halisi sio kwa hizi ID, so tukija hapa bado tutakuwa hatufahamu nani ni nani bali ni kuhisi tu labda atakuwa yule!!
Ila kikubwa tumekutana kula bata pamoja.