demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,294
Uchochezi huu.
Tutaandama uje
Uchochezi huu.
Tutaandama uje
Weekend fulani tukutane kiwanja fulani lakini tutatambulishana kwa majina halisi sio kwa hizi ID, so tukija hapa bado tutakuwa hatufahamu nani ni nani bali ni kuhisi tu labda atakuwa yule!!
Ila kikubwa tumekutana kula bata pamoja.
Mwabeja sana mwanawani
Siku moja moja ukitoa ofa siyo mbaya.Life is not too rigid.
Kumbe unawajua wenye maji na ya wanyama[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Bora nisiamke tu life lenyewe lilivo tyt hivi
Moto chini
Nipo indiaYes ww upo wap
Yes ww upo wap
Umeonaee
[emoji2] [emoji2] hapa ni bonyeza ubonyezwe...
Kweli watu wanapenda Likes,
Uzi unatembea haswa.
Miss u too pacha, nilijiuliza umebanwa na majukumu umechelewa kufika hapa
Kwanin usipateLeo ntapata likes kweli?
We pia nimeku miss jamani [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimefurah kukuona tu mrembo
picha kali sana