Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
J085
Hatari sana nakumbuka sana mafuriko ya msumbiji yalikuwa balaaNimeona video zake zinasikitisha. Kuna jengo la ghorofa yaani limeanguka zima zima utafikiri toy na wakazi wakiwemo ndani. Mother nature akiamua ni shida!!!
Du
Huyu jamaa amestaafu mieleka au bado