Korosho ni moja ya vyakula vyenye madini ya kutosha ya zinki. Mhimu ni utambuwe kuwa miili yetu haijaundwa kuwa inahifadhi madini ya zink kila siku, hivyo unahitaji kuwa unatumia vyakula hivi siku zote kwa matokeo mazuri zaidi.
Kula kiganja kimoja cha mkono wako cha korosho kila siku na hutakawia kuona akili yako inapata utulivu unaohitajika.