Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_1520.jpg
 
DAWA ASILI 10 ZINAZOTIBU KIKOHOZI

Kikohozi ni moja ya ugonjwa ambao huwapata watu karibu wote.

Kunapotokea kuzibika au muwasho kwenye koo lako ubongo hutambua kuwa kuna wavamizi kutoka nje na hivyo huuamrisha mwili wako kukohoa ili kuondoa hao wavamizi.
 
Kukohoa pia kunaweza kuwa ni matokeo ya maambukizi ya virusi, homa, kuvuta sigara au matatizo ya kiafya kama pumu, kifua kikuu na kansa ya mapafu.

Baadhi ya dalili za kikohozi ni muwasho kooni, maumivu ya kifua na msongamano mapafuni.
 
Dawa asili 10 zinazotibu kikohozi:

1. BINZARI (Turmeric)

Dawa hii ya asili inao uwezo wa kutibu kikohozi hasa kikohozi kikavu.

Ongeza kijiko kidogo kimoja cha unga wa binzari ndani ya kikombe kimoja (robo lita) cha maji ya moto, ongeza ndani yake tena kijiko kidogo cha pilipili manga ya unga, nusu kijiko cha chai cha unga wa mdalasini na kijiko kidogo kimoja cha asali mbichi, koroga vizuri na unywe mchanganyiko huu wote kutwa mara moja kila siku mpaka umepona.
 
2. TANGAWIZI

Tangawizi ni moja ya dawa maarufu kwa kutibu kikohozi.

Tengeneza chai ukitumia tangawizi mbichi na ndani yake utumie asali na siyo sukari kwenye hii chai yako. Kunywa kikombe kimoja kutwa mara 3 kila siku mpaka umepona.
 
3. LIMAU

Limau inaweza kutumika kwa namna nyingi katika kutibu kikohozi. Limau zina sifa za kuondoa maambukizi na pia limau lina vitamini mhimu ambayo hupigana na maambukizi na kukuongezea kinga ya mwili vitamini mhimu sana vitamini C.

Changanya vijiko vikubwa viwili vya maji maji ya limau na kijiko kikubwa kimoja cha asali mbichi na unywe mchanganyiko huu mara 2 kwa siku kwa siku kadhaa.
 
4. KITUNGUU SWAUMU

Kitunguu swaumu kina sifa ya kuua bakteria na virusi mwilini sifa ambayo inakifanya kuwa dawa bora ya kutibu kikohozi.

Menya punje 6 za kitunguu swaumu, kata vipande vidogo vidogo (chop) na uchanganye kwenye kikombe kimoja (robo lita) cha asali na uuache mchanganyiko huu kwa usiku mzima.

Kuanzia kesho yake asubuhi chukua kijiko kidogo kimoja cha mchanganyiko huu na ulambe mara 2 kwa siku mpaka upone.
 
5. KITUNGUU MAJI

Moja ya dawa nyingine rahisi ya kutibu kikohozi ni kitunguu maji. Unaweza kunusa tu mara kadhaa harufu ya kitunguu na ukaona mabadiliko.

Changanya kijiko kidogo kimoja cha juisi ya kitunguu maji na kijiko kidogo kimoja cha asali mbichi na unywe mara 2 kwa siku mchanganyiko huu kwa siku kadhaa.
 
Liverpool wameshinda?

Sasa Cherie hebu nisaidie. Hivi nami nikitaka kuanza kushabikia timu ya Ulaya inabidi nifanyeje? Unachaguaje timu? Wewe ulitumia vigezo gani kuchagua Real Madrid na Chelsea (kama sijakosea). Why not Manchester United or Barcelona?
Mimi kwanza nlikuwa shabiki wa Man u enzi za Ronaldo kwa hiyo alivoondoka kwenda real ofcuz nkaanza kuipenda real...by that tym nlikuwa sishabikii club za Spain ila nlikuwa nampenda messi..messi mi simchukii.
Man u nlihama Ferguson alivyoondoka[emoji17][emoji17][emoji17]ko mimi Ni Chelsea saiv na sinampango wa kuhama.
 
Back
Top Bottom