[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo natoa salam kwa couples tu, ukiona hujatajwa ujue couple yako haifahamiki sana hivyo unahitaji kupambana na hali yako ili couple yenu ijulikane.
Mzee wa sadolinAisee we jamaa umejitahidi kuukimbiza huu uzi, noma sana.
[emoji106]Break fast
Good morningGood morning
Watu Wa Mungu
Duuh ulivyo hama hamaMimi kwanza nlikuwa shabiki wa Man u enzi za Ronaldo kwa hiyo alivoondoka kwenda real ofcuz nkaanza kuipenda real...by that tym nlikuwa sishabikii club za Spain ila nlikuwa nampenda messi..messi mi simchukii.
Man u nlihama Ferguson alivyoondoka[emoji17][emoji17][emoji17]ko mimi Ni Chelsea saiv na sinampango wa kuhama.