Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maana, wakati mwingine mtu ambaye amefanya kazi kwa kutumia hekima, akili na maarifa yake, humwachia mtu mwingine afurahie matunda ya kazi ambayo hakuitolea jasho. Pia hilo nalo ni bure kabisa; ni jambo baya sana. Mtu anafaidi nini kutokana na kazi zake zote, na juhudi anazohangaika nazo duniani?
Mhubiri 2:21‭-‬22 BHN
Mhubiri 2:21-22; Maana, wakati mwingine mtu ambaye amefanya kazi kwa kutumia hekima, akili na maarifa yake, humwachia mtu mwingine afurahie matunda ya kazi ambayo hakuitolea jasho. Pia hilo nalo ni bure kabisa; ni jambo baya sana. Mtu anafaidi nini kutokana na kazi zake zote, na juhudi anazohangaika nazo duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…