SLEDGEHAMMER
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 1,030
- 5,969
Maana wanyofu wataipata nchi, na waaminifu watadumu ndani yake. Lakini waovu wataondolewa nchini, na wenye hila watangolewa humo.View attachment 567603 Muhubiri 2:22
Hahaha ubaguzi huuGood morning mpemba
Ni kweli wenger anatutesa sana ila yeye huyo huyo amefanya mambo makubwa kwenye timu,tukamkumbuka kwa invicible na tutamkumbuka kwa uwanja wa emirates,utafika muda ataondoka na timu itabaki palepalePoa uwezi toka hapo lakini Wenger anawatesa kweli
NaamMzee wa Arsenal