Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naombq upende na kutoa malikes kwa wengine pia [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️napendaga malikes
Naombq upende na kutoa malikes kwa wengine pia [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️napendaga malikes
tangu jana saa 4 asubuhi sikuwa na mtandao kabisa, nimeongia leo mkuu.Kwema mkuu? Sijakuona hapa siku kadhaa. Majukumu yamekaba sana naona...
Karibu sanatangu jana saa 4 asubuhi sikuwa na mtandao kabisa, nimeongia leo mkuu.
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]PICHA - Tufanye DNA ya macho unadhani nani atakuwa baba wa mtoto...kati Ya Mchungaji na Huyo Jamaa.. Angalia vizuri KISHA Drop comment yako hapaView attachment 567620
Kwa sasa niko kibiti ila hatujambo sana.Koromije kwema tu bageshi. Tunakula mema ya nchi japo kuna kaupungufu pungufu ka vyakula nakaona. Shinyanga huko mnatunyima nini?