Haya makanisa ya kiroho shida sanaPICHA - Tufanye DNA ya macho unadhani nani atakuwa baba wa mtoto...kati Ya Mchungaji na Huyo Jamaa.. Angalia vizuri KISHA Drop comment yako hapaView attachment 567620
Beautifuludizungwa
HahahahaHaya makanisa ya kiroho shida sana
Zile story za happy ending nilizokuwa nazisikiaga zinanitokea
Teh teh tehHizo tattoo dah. Akigonga miaka 80 sijui kama zitasomeka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Is this love that I am feeling
Hahahahaha11k loading
Hahahahaha asante mkuuMzee wa liver
Kama mchezaji ni
Sergio busqute
Kiswahili kigumu kama chichiemuMbona msambwanda umepungua??
Isijekuwa katekwa[emoji23][emoji23]Yaan khs andjul ww ndio inabidi ujibu maan tangu alivyoenda mjini kufanya kazi hajarudi, na mm nilivyomkosa nikaamua kuhamia kibiti.
Taratibu mkuu tunasonga mbeleMzee wa liver
Mzee wa liver
Unapiga sana mzigo
Big up Sana
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]enheeZile story za happy ending nilizokuwa nazisikiaga zinanitokea
Wewe ukiwa by my side
Amefanana na mchungaji kwa ajili ya maombiMtoto ni wa mchungaji
OhoooKiswahili kigumu kama chichiemu
Msambwanda ndiyo nini