mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hii nzuri sana
Naona hata shule zetu huku watoto wa kindergarten wanapewa magodoro
Hii nzuri sana
Hahahahaha
To sadHajaonekana
Matatizo yapo na hapana budi yatatuliweHatuwezi kutatua tatizo kwa kujidanganya kuwa halipo
That's wonderful
Mkuu upo2050$
mafisadi hayana rangi
Mkuu unakumbusha mahesabuLinear measure
Napenda sana chai yenye iliki1. Iliki
Iliki inao uwezo wa kuzirudishia nguvu mpya seli za mwili na kusafisha mwili jambo ambalo mwishowe linasaidia kuweka sawa akili yako.
Kunywa chai yenye iliki kila siku. Iliki inaweza pia kuongezwa kwenye vyakula na mboga nyingi jikoni. Kazi ni kwako.