AmenMungu bariki wamama wote duniani
Naona bado una mahaba sana na KK,siku nyota ya kuachwa ikija toka nina imani mtarudiana tena... (Sijui Cole ataliaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )Yani ni wewe na KK ndo mnavuruga akili yangu[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuwa sasa[emoji12][emoji12]
Unataka akatest zali?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimba,labour utaenda wewe eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Powa mkuu tutakumiss sanaBaadae tena wakuu tupo pamoja.
Hapa wazee wa heart broken hapa inawahusuHaya maneno ya am better without you,ni kujifariji tu hamna kingine[emoji57][emoji57]
Aiseeh basi ukawe na part2 leoYani nahisi imeniponya moyo wangu kabisa,hela siyo tatizo carba,tatizo amani ya moyo mama!!
[emoji22][emoji22][emoji22]Siwezi kusepa bila to say bye kwako.