Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-16-19-51-22.png
 
Mume/mke/mpenzi anatakiwa kuwa rafiki yako kipenzi kila linalokusibu mnatakiwa mshirikishane,uhusiano wenu usiwe wa kuishia kulala miguu 4,mkiwa marafiki ni rahisi kukosoana,ila almuhimu mnatakiwa kiheshimiana,kuwa pamoja katika kila hali hakika mahusiano yenu yatadumu...
Kumbe siku mbili hizi umekuwa mkubwa kiasi hicho?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nzuri tu pole na mtandao[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tatizo ulipotea vijiji hafu unaogopa kusema. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tupo tunakutafuta[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona nilisema niko porini na mtandao ni shida[emoji23][emoji23][emoji23]
Nirudi tu mjini kwakweli maana hali ni tete[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom