Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
J625
DahBob12
Amina.Asante mkuu. Don't be too philosophical about this thing called life. Mfalme Suleman, baada ya kuponda raha za kila aina, mwishowe alihitimisha kuwa yote ni ubatili na kujilisha upepo tu. Kumtumikia Mungu na kufanya yote yampendezayo yeye na hasa kuwasaidia binadamu wenzetu wenye uhitaji ndiyo hasa kusudi letu kuu hapa duniani. Mungu Azidi kutuonyesha njia mkuu na Awaponye wapendwa wetu !!!
Heri maana si kawaida nipo nakusubiri hukuWapi huko[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] naja kwa kasi ya 90gb...mipe location
Pole sana...uwe unapita kutusalimu basi[emoji22][emoji22]Heri maana si kawaida nipo nakusubiri huku
Ahsante mkuuPoleni wakuu kumbukeni hii
Tough times never last in life but tough people always do
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzi unapoa sana bila fujo zako,pole kwa majukumu ila kama vipi yaache yanakupotezea muda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...i miss you though
Kama hivi [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23]umenifanya nicheke sijui hata kwanini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimba,labour utaenda wewe eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimerudi,kwema kiongozi....Upo[emoji22][emoji22][emoji22]rudi huku bhana tunaku miss ujue