carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hey Bob12...habari yakoNakusalimu kwa jina la carba
Hey Bob12...habari yakoNakusalimu kwa jina la carba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Broo bhana parables kama zina fanya kazi tumia tu
AminaPole kuhusu afya ya mzazi. Mungu ndiye tabibu mkuu na bila shaka Atamgusa na mkono wake wa uponyaji. Mamangu pia hali yake siyo nzuri na usinione niko hapa ni kujifariji tu. Yote tumwachie Mungu rafiki yangu. Wazazi wetu hawa ni wazee na kusema kweli tumebarikiwa sana kuachiwa tukawa nao mpaka wakati huu. Ni mapenzi na upendeleo wa aina yake na hatupaswi kulalamika. Wakati huu wanapokuwa ukingoni mwa maisha yao kizazi chao kikiondoka baada ya kutimiza majukumu yake tena kwa ustadi wa ajabu na kupisha vizazi vingine, tujaribu kuwa karibu nao na kung'ong'a ng'ong'a matone ya mwisho katika bahari yao pana ya maarifa, hekima na uzoefu wao kuhusu maisha. Mungu Atubariki na kututia nguvu mkuu...
Nimeitika KK habari yako lakini...carbamazepine siku ukitika huko juu ya mti uniambie. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuja kukusalimia
Rudi bhana wewe haupo,andjul hayupo,uzi unapoa sana[emoji22][emoji22]Nilikuwa nawasalim tu wakuu
Habari duniaEmbu andika unachojisikia tuone